Saturday, March 28, 2015

>>> >>> >>> >>> >>>

PATA PICHA ZA MATUKIO YA ZIARA YA KATIBU MKUU TAIFA NDUGU ABRAHAMANI KINANA WILAYANI HAI MKOA WA KILIMANJARO.

Imechapwa na: UV MAPINDUZI - 9:05 AM


Katibu mkuu taifa akiwahutubia wananchi wa wilaya ya Hai mkoani kilimanjaro waliofurika kumsikiliza ikiwa ni sehemu ya ziara za katibu mkuu mikoa ya kaskazini

Katibu mkuu taifa Ndg. Abrahamani Kinana akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wafanykazi wa hospitali ya wilaya ya Hai mara baada ya kukagua chumba kipya cha mionzi (X-Ray) hospitalini hapo.

Wakaazi wa wilaya ya Hai wakimsikiliza na kumfuatilia kwa makini katibu mkuu taifa, katika viwanja vya snow view mji mdogo wa Bomang'ombe

Ndg. Abrahamani Kinana akiwahutubia wakazi wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro ikiwa ni sehemu ya ziara yake kanda ya kaskazini.

Katibu itikadi na uenezi Ndg. Nape Nnauye akiwahutubia wakazi wa wilaa ya Haai katika ziara ya katibu mkuu taifa mikoa ya kaskazini.

Bofya hapa! kujua chanzo

Shirikisha

& Hoji

0 comments:

Post a Comment

Download It from Here

MonotataPx I Mbinotrix I MonotataPx I Mbinotrix