Kamanda UVCCM Bwawani Ndg. Ally Nchagaha (mwenye miwani) akiserebuka pamoja na baadhi ya viongozi UVCCM Bwawani
Haikua hafla tu bali pia sehemu ya kubadilishana mawazo hapa ni kamanda UVCCM Bwawani akihafikiana jambo na viongozi UVCCM Bwawani.
Hafla nzuri huisha kwa kumbukumbu nzuri! hii ni picha ya pamoja wakiwa wenye nyuso za furaha kamanda UVCCM Bwawani akiwa na uongozi mzima wa UVCCM Bwawani.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!...




0 comments:
Post a Comment