Na Ripota wetu
Umoja wa vijana CCM Tawi la Bwawani umeamua kusheherekea sikukuu za miaka 38 tangu kuasisiwa kwa chama cha mapinduzi kwa kuungana na vijana wapenda maendeleo waliojikita katika michezo kwa kufanya bonanza dogo lililoweza kuwakutanisha vijana mbali mbali kutoka maeneo ya jiji la dar es salaam.
Akielezea bonanza hilo kamanda wa Umoja wa Vijana Bwawani Ndugu Ali Nchahaga alisisitiza kuhusu kuzinduka na kujitambua kwa vijana nchini akisistiza katika umuhimu wa michezo kiafya na kiuchumi Ndugu Nchagaha aliwaasa vijana kujiepusha na matumizi ya madawa ya kulevya.
Tuesday, February 3, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment