Kamanda wa Umoja wa Viana wa CCM (UV CCM) Bwawani Ndugu Ali Nchahaga akikabidhi seti ya jezi za mpira kwa timu za mpira za Kijitonyama na Makumbusho jijin dar es salaam. Kushoto aliyeshika mpira ni Mwenyekiti UV CCM Bwawani Ndugu Mussa Soda.
Pichani ni mwenyekiti UV CCM Bwawani Ndugu Mussa Soda akikabidhi mipira kwa timu za makumbusho na kijitonyama jijini dar es salaam.

0 comments:
Post a Comment