Wednesday, February 4, 2015

>>> >>> >>>

VIONGOZI UV CCM BWAWANI WADUMISHA MICHEZO!...BOFYA KW HABARI ZAIDI

Imechapwa na: UV MAPINDUZI - 3:58 AM
Na Ripota wetu
Viongozi wa UV CCM tawi la Bwawani wadumisha michezo Kijitonyama na Makumbusho

 Mbali na bonanza makamanda wa UV CCM waliwazawadia timu hizo za kijitonyama na makumbusho seti za jezi na mipira.

Msemo wa mazoezi ni afya ulitekelezwa na makamand wa UV CCM vilivyo. Pichani ni mwenyekiti UV CCM Bwawani Ndugu Mussa Soda na Kamanda wa UV CCM Bwawani Ndugu Ali Nchahaga wakiongoza vijana katika mazoezi

Kamanda UV CCM  Ndugu Ali Nchahaga  na mwenyekiti UV CCM Bwawani Ndugu Mussa Soda walioweka mpira kati yao wakiwa kwenye picha ya pamoja viongozi wa timu za vijana pamoja na baadhi ya makamanda wa UV CCM Bwawani.

Shirikisha

& Hoji

0 comments:

Post a Comment

Download It from Here

MonotataPx I Mbinotrix I MonotataPx I Mbinotrix